Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Ili tuwe salama lazima tuziache njia zetu mbaya” –Dr Tulia

on

July 12, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla waliungana na viongozi mbalimbali wa Dini, Machifu pamoja na Wananchi wa Mbeya katika maombi ya kuombea Mkoa huo ili kuunusuru na matukio ya ajali za barabarani ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara. Maombi hayo yalifanyika katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe.

Ndugu zangu tusijiweke mazingira ambayo tutakuwa hapa tukimuomba Mungu jambo la mwisho kabla hatujayafanya masharti aliyoyaweka mwanzo, Mungu amesema sisi lazima tuziache njia zetu mbaya nay eye anao uwezo wa kutusamehe dhambi zetu. Mungu anao uwezo wa kuiponya Mbeya yetu na tukawa salama pamoja na nchi nzimaDr Tulia Ackson

RCO alienda kumuhoji JPM anavyojisikia juu ya maneno ya Halima Mdee?

Soma na hizi

Tupia Comments