Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Usipitwe na kilichotokea leo katika tukio la kupatwa kwa ‘jua’ Mbeya

on

Moja ya matukio yaliochukua headline leo September 1 2016 ni pamoja na tukio la kupatwa kwa jua lililotokea  katika Kijiji cha Rujewa, Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ambapo lilianza majira ya saa 4: 20 hadi saa 7:25 za machana ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi wa kawaida walijitokeza kushuhudia tukio hilo.

Kitu kingine nikwamba unaambiwa wanataaluma wa anga kutoka duniani kote pamoja na wanasayansi, wanafunzi pamoja na jamii ya Tanzania walikuwa Rujewa, kusini mwa Tanzania, kushuhudia duara la Jua linavyobadilika kuwa mithili ya pete.

Hapa nimekusogezea video ikionyesha hali ilivyokuwa na maelezo ya mtaalamu …

ULIIKOSA HII YA SABABU ZA CHADEMA KUAHIRISHA UKUTA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement