Mix

VIDEO: Majibu ya Abdul Nondo kama atafungua kesi kudai fidia

on

Baada ya Mahakama kuu kanda ya Iringa kumuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) Abdul Nondo, aliyekuwa akikabiliwa na makosa mawili moja la kutoa taarifa za uongo kwa kudanganya kama alitekwa akiwa jijini DSM na baadaye kukutwa Mkoani Iringa, AyoTV imempata kwenye Exclusive interview.

Kwenye interview hiyo Abdul Nondo amesema hana mpango wowote wa kufungua kesi ya madai ya fidia kutokana na  muda waliompotezea na usumbufu alioupata wakati wa kesi hiyo bali sasa anachokitazama ni kuhakikisha anarudi shule na kuendelea na masomo yake, Unaweza kumsikiliza kwa kubonyeza play hapa chini

Nondo afunguka baada ya kesi ‘kuna mengi unaweza ukajiuliza usipate logic’, Bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments