Tangaza Hapa Ad

PICHA 10: Mtanzania aliyeshika nafasi ya 4 Miss Africa 2016 akiwasili Airport DSM


Mtanzania Julitha Kabette aliyeshiriki mashindano ya Miss Afrika 2016 yaliofanyika Nigeria katika jimbo la Cross River, mjini Calabar amerejea Dar es Salaam Tanzania usiku wa Jumanne ya November 29 2016 akitokea Nigeria.

sd

Julitha amerejea Dar es Salaam akiwa amefanikiwa kushika nafasi ya nne katika mashindano hayo ya umiss, ambapo hayo ni mashindano yamefanyika kwa mara ya kwanza.

zc

wew

jklk

dsw

axas  aaww

2

1

VIDEO: OnAIR: Miss Africa Tanzania 2016 Julitha Kabette na Millard Ayo 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement