Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 9: Kutoka msibani Nyumbani kwa marehemu Joseph Mungai Iringa

on

Mbunge na waziri wa zamani, Joseph Mungai aliyefariki dunia November 8 2016 na baadaye mwili wake kusafirishwa kutoka Dar es salaam alikofariki dunia.

Mungai alikuwa mbunge wa Mufindi kupitia CCM na aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini katika awamu ya kwanza hadi ya nne akiwa waziri wa Elimu na Utamaduni, Waziri wa kilimo na Maendeleo, waziri mambo ya ndani.

Nimekuwekea picha za viongozi mbalimbali wa kiserikali walivyoshiriki msiba huo nyumbani kwake Mufindi mkoani Iringa

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye

s652111

Peter Msigwa, Waziri William Lukuvi na Waziri Joyce Ndalichako

s345555 s34522222 s34555566675 sde4533 se2311 sew3422

VIDEO: Ukimuuliza Waziri Lukuvi kuhusu marehemu Joseph Mungai atakujibu hivi…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement