Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record kwa kununua CD 25 Mlimani City

on

January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake  Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo na alinunua CD 25.

Jux amesema kuwa amenunua CD 25 nyingine atawapa mashabiki wake lakini pia amefanya hivyo kwa ajili ya kumsupport Vanessa Mdee, msikilize hapa kwenye Exclusive interview kwa kubonyeza PLAY hapa chini..

Vanessa awapagawisha mashabiki mpaka Wachina wanunua Album Mlimani City

Soma na hizi

Tupia Comments