Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Yanga SC imeomba radhi leo

on

Usiku wa May 6 2018 mchezo wa kwanza wa Yanga wa Kundi D wa Kombe la shirikisho Afrika ulichezwa mjini Algers nchini Algeria dhidi ya wenyeji wao USM Alger, game hiyo Yanga walipoteza kwa magoli 4-0, katika mchezo huo kuna suala lilijitokeza la Yanga kuvaa jezi bila kumuonesha mdamini wao Mkuu SportPesa.

Yanga kuhusiana na shirikisho la soka Afrika CAF kutowaruhusu kutumia jezi za mdhamini wao mkuu SportPesa leo wametoa taarifa rasmi kutoka makao makuu yao sambamba na kumuomba radhi mdhamini wao mkuu SportPesa.

VIDEO: Emmanuel Okwi hawezi kupata presha kwa rekodi ya Tambwe VPL

Soma na hizi

Tupia Comments