Michezo

PICHA: List ya washindi wa Tuzo za The Best FIFA 2018

on

Usiku wa September 24 London England zilitolewa tuzo za The Best FIFA 2018 katika vipengele mbalimbali wakati tuzo kubwa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2018 kati ya Cristiano Ronaldo, Mohamed Salah na Luka Modric nani atashinda tuzo hiyo.

Luka Modrid ndio amefanikiwa kuwashinda masta hao na kufanikiwa kuibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA 2018, wakati Thibaut Courtois aliyekuwa Chelsea akitajwa kama kipa bora wa mwaka.

1-Luka Modric mchezaji bora wa kiume wa FIFA

2- Marta mchezaji bora wa kike wa FIFA 2018

3- Didier Deschamps ndio kocha bora wa mwaka.

 

Kikosi bora cha mwak cha FIFA 2016, De Gea, Alves, Marcelo, Ramos, Varane, Ngolo Kante, Modric, Ronaldo, Messi na Mbappe.

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

Soma na hizi

Tupia Comments