Michezo

PICHA 15: Man City walivyoyatembeza Makombe yao mtaani

on

Club ya Man City Jumatatu ya May 14 2018 ilitembeza Makombe yake jijini Manchester ambapo mashabiki wa timu hiyo walijitokeza mitaani kuwaonesha sapoti wachezaji wao  ambao wamefanya kazi kubwa msimu wa 2017/2018 kuhakikisha wanatwaa mataji.

Aliyoyasema Samatta ameyatimiza, tutamuona Europa League 2018/19?

Soma na hizi

Tupia Comments