Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ufafanuzi kuhusu fedha kukauka mifukoni mwa watu

on

Kumekuwepo na malalamiko ya watu wengi kusema kuwa fedha imekauka mfukoni hasa kipindi hiki, Leo November 30 2016 Msajili wa hazina, Lawrance Mafuru amezungumza na wandishi wa habari moja wa ishu aliyoitolea ufafanuzi ni kuhusu malalamiko ya wengi kuwa fedha kwa sasa imekuwa ngumu kupatikana.

>>>’Kama nchi tumeamua kwamba badala ya kupeleka fedha kwenye matumizi ya kawaida ambayo yangeingia kwenye mzunguko wetu, fedha zetu zimekwenda kwenye miradi mikubwa ambayo matokeo yake hayaonekani sasa hivi’

VIDEO: Sababu za benki kufilisika wakati huu, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement