Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kama unaishi Dar,si vibaya week end hii ukaitumia kuvuka maji hadi Kigamboni.

on

MAVOKO copyMara nyingi huwa sishangai mtu anapotoka Kinondoni kuelekea labda Tegeta kwa ajili ya kwenda kufurahia wee end yake,na kuna mwingine anatoka labda Gongolamboto anaenda Masaki kuparty sasa jaribu kuitumia week end kupanda pantoni hadi Kigamboni pale Kakala Night Club.

kakalaKakala Night Club wanasherehekea Miaka 5 ya club hii pekee Kigamboni,ambapo nimeambiwa miongoni mwa wasanii watakaoperfoam ni pamoja na Rich Mavoko ambaye kwa mara ya kwanza ataperfoam hapo Kakala Night Club.

Ni jumamosi January 25 na millardayo.com itapanda pantoni hadi Kakala Night Club pia kushuhudia party hii.

Tupia Comments

Advertisement