Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Vodacom ilivyowatangaza washindi wa kamata mpunga wiki hii

on

Ni wiki nyingine tena Vodacom kupitia promosheni yake ya kamata mpunga imewakamatisha tena wateja wake kutoka maeneo mbalimbali nchini, ambao wamejishindia mil 1 na mil 5 ni baada ya kushiriki promosheni ya kamata mpunga kwa kuandika neno GO kwenda 15544 kwa kujibu maswali rahisi kabisa toka vodacom na kujishindia fedha hizo.

Mtu wangu promosheni hii ya kamata mpunga toka vodacom bado inaendelea, usisite kushiriki kwani mamilioni bado yanaendelea kutolewa na unaweza kuwa mmoja wa washindi ambaye unaweza kujishindia kuanzia laki 5, mil 1, mil 5, mil 20 pamoja na mil 100 ambayo itatolewa mwisho wa mwezi huu wa october.

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 21 2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement