Tangaza Hapa Ad

AyoTV

‘Tuwahurumie Wanaume wa Tanzania’ – Mbunge Kangi Lugola

on

Bungeni Dodoma November 8 2016 kubwa ilikuwa ni kuhusu mkataba wa ubia wa uchumi baina ya nchi za jumuiya ya afrika mashariki na umoja wa Ulaya (EAC-EU EPA) ambao unahusisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania.

Serikali haijasaini huo mkataba na iliamua kuupeleka bungeni kwa ajili ya kupata maoni ya Wabunge ambao kwa pamoja walipiga kura za kuukataa na wengine wakato maoni yao kama hivi.

VIDEO: Maoni ya Zitto Kabwe kuhusu mkataba wa EPATujiulize mara mbilimbili kwanini Kenya wamesaini?TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: Maoni ya Hussein Bashe kuhusu mkataba wa EPA utayapata hapa chini kwenye hii video

.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement