Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kanye West hatolipwa pesa baada ya kukatisha show, Itafidiwa kwa mashabiki

on

Kanye West amekuwa kwenye headlines mbali mbali wiki hii, na mojawapo ni hii ya kukatisha show aliyokuwa akiifanya huko Sacramentino California na kuanza kuwachana Beyonce na Jay Z kwenye steji kwa alichodai kwamba wamemkosea.

Baada ya kumaliza kuwachana Jigga na Bey Kanye alitupa Mic chini na kuondoka, kitu ambacho kililalamikiwa na mashabiki kwasababu alikuwa ameperfom nyimbo tatu tu.

Waandaaji wa show hiyo  wamewaahidi mashabiki kulipwa pesa zao ndani ya siku 5 mpaka 7 za kazi , lakini  kwa wale watakaohudhuria show inayofata wataingia bure.

Hata hivyo Kanye West ameahirisha show hiyo ambayo ni moja kati ya show zake kwenye tour yake ya Saint Pablo baada ya kuugua ghafla na kulazwa Hospitali Jumatatu ya November 22, 2016 na kwa mujibu wa ripoti za kidaktari zinasema Kanye anasumbuliwa na msongo wa mawazo pamoja na uchovu.

VIDEO: Ulimiss Bien wa Sauti Sol akiongelea  ushindani wa Diamond Platnumz na Alikiba

USIPITWE NA HABARI !!!!! Kazi ya Millard Ayo ni kukusogezea karibu habari zote kuanzia za Mastaa, burudani, michezo, siasa na mengine ya mtaa, jiunge na mimi kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwa jina hilohilo la @millardayo kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement