Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Dogo wa miaka 10 kasajiliwa na Juventus anatabiriwa kuwa kama Messi

on

Klabu ya Juventus ya Italia imeoneshwa kuvutiwa na uwezo wa kucheza soka wa mtoto wa miaka 10 Rashed Al Hajjawi raia wa Palestina aliyezaliwa na kukulia Norway kutokana na kipaji chake.

img_5947-1

Rashed Al Hajjawi ambaye video yake imeonekana katika mitandao hivi karibuni Juventus wameonesha dhamira ya dhati ya kuanza kuhitaji huduma ya mtoto huyo ambaye anatazamiwa kuja kuwa kama mshambuliaji wa FC Barcelona Lionel Messi.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement