Premier Bet

Mix

Kamanda Siro kuhusu vurugu za CUF

on

Leo April 24 2017 Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dare es Salaam limethibitisha kukamatwa watu watatu wanao tuhumiwa kuvamia mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na chama cha wananchi CUF Jijini Dare es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Kamishna wa poilisi kanda maalumu ya Dare es Salaam Simon Siro amesema upelelezi bado unaendelea huku akiwataka watu kutoa taarifa polisi mara moja pindi wanapokumbwa na wahalifu iliwafunguliwe majarada.

Bonyeza Play hapa chini kutazama video nimekuwekea…

VIDEO: Mpango utakaosaidia kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi

Soma na hizi

Tupia Comments