Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

Nchi 10 hatari kuzitembelea duniani, Bara la Afrika ni zaidi

on

November 15, 2016 nimeipata list ya nchi zilizotajwa kuwa hatari zaidi kuzitembelea duniani na taasisi ya utafiti ya International SOS and Control Risks. Nchi zilizotajwa kuwa hatari zaidi ni Syria, Afghanistan na Yemen huku Norway, Sweden na Iceland zikiwa ni nchi salama zaidi duniani.

  1.  Syria
  2. Afghanistan
  3. Yemen
  4. Libya
  5. Sudan
  6. Somalia 
  7. Mexico
  8. Colombia
  9. Pakistan 
  10. Egypt 

Imeelezwa kuwa asilimia 72% ya watu duniani wanaamini kuwa hatari katika nchi nyingi imeongezeka zaidi kuanzia mwaka 2016 na sababu ikiwa ni matukio ya ugaidi na magonjwa huku Bara la Afrika likitajwa kua na maeneo mengi zaidi hatari, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos Mori.

Ndani ya mwaka mmoja wananchi wamesema kuwa matukio ya ugaidi na kusambaa kwa virusi vya Zika kumefanya kupungua kwa safari za watalii katika maeneo mengi duniani, huku asimilia 57 ya watu wakiamini hali itakua mbaya zaidi ifikapo mwaka 2017.

Yemen rates as one of the most dangerous countries in the world where government control is non-existent and there is a threat of violence to travellers

Majengo ya baadhi ya maeneo ya nchi ya Yemen yaliyokumbwa na matukio ya ugaidi

Nchi nyingi za barani Ulaya, Marekani, Canada na Australia zimetajwa kuwa ni sehemu ambazo hazina hatari ingawa kuna baadhi ya miji ndani yake ina uwezekano mkubwa wa raia kupata matatizo. 

Maeneo ambayo yametajwa kuwa na uwezekano mkubwa kutokea majanga ya ugaidi, magenge ya ujambazi na ubakaji, magonjwa ya milipuko na vita ni Mexico, Honduras, Colombia, Haiti, Papua New Guinea, Pakistan, Egypt, Nigeria na Algeria.

Wakati huo huo yametajwa maeneo ambayo ni salama zaidi duniani kuwa ni Norway, Sweden, Iceland, Switzerland, Slovenia na Denmark.

In a year when terrorism and the Zika virus have blighted travel, 72 per cent of people believe travel risks have increased over the past year and 57 per cent expect it to become even more dangerous next year 

The countries deemed to have an insignificant risk rating are Norway, Sweden, Iceland (above),  Switzerland, Slovenia and Denmark

Baadhi ya Sehemu za Utalii nchini Denmark

The research also centres on travellers' perceptions of the risks they face with experts balancing the chance of encountering extreme danger with the need to be prepared for more common issues

Chart ya kuonesha matukio ya hatari kwenye nchi zinazotajwa kuwa kwenye hali ya kukosa usalama.

VIDEO: Unapenda kutumia Mto wakati wa kulala? Tazama hapa madhara ya kulalia mto

https://www.youtube.com/watch?v=JnKWSd51d-M

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement