Premier Bet

Top Stories

TELEZA: DC Kigoma “Hussein ametajwa sana kubaka, operesheni imeanza watafungwa” (+video)

on

Leo May 21, 2019 Mkuu wa Wilaya wa Kigoma Samson Anga amefika Hosptalini kuwaangalia wananwake walioshambuliwa usiku kufuatia kuwepo kwa vitendo vya ubakaji vinavyoendeshwa watu wanaojiita ‘Teleza’, pia amekwenda katika nyumba zao kuangalia mazingira wanayoishi.

DADA AELEZA MWANZO MWISHO ALIVYOBAKWA NA VIJANA WANAOJIPAKA OIL KIGOMA “MARA YA TATU”

Soma na hizi

Tupia Comments