Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mbunge kahoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi?

on

Mbunge wa Jimbo la kilombero Peter Lijualikali amemuuliza Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwanini askari polisi wa kilombero hawampigii saluti wakati maelekezo yametolewa bungeni kuwa wabunge wanapaswa kupigiwa saluti, Unaweza kuangalia video hii hapa chini 

VIDEO: Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji, Bonyeza Play hapa chini kutazama 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement