Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Baba wa kambo adaiwa kumbaka mtoto wa mke wake

on

Leo January 16 2017 kupitia Leo tena ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea Kinondoni Dar es salaam inayomhusu baba wa kambo amedaiwa kumbaka mtoto wa kike wa mke wake ambaye ana miaka mitatu.

Bibi ndiye aliyegundua baada ya mama kusafiri na  kuacha mtoto wake na mume wake, bibi anasema…..

>>nilimgundua mtoto baada ya kumkuta amejisaidia haja ndogo ikiwa na damu, nikafikiri ni kichocho, kuna siku ikabidi nimuangalie sehemu zake za siri, hali niliyoikuta ilinishangaza nikafiri ndio maumbile yake, nilipomuuliza nani kakufanya hivi anatamtaja baba’

kupata full stori bonyeza play hapa chini

HEKAHEKA: Dada asimulia alivyotapeliwa mtandaoni, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement