Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mashamba yaliyonyang’anywa kwa vigogo kupewa vijana kwa masharti

on

Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi katika mikoa ya kaskazini amewataka vijana kujitokeza kwenda katika maeneo mbalimbali ya mashamba ambayo Rais Magufuli amebatilisha umiliki wake ili waweze kuwekeza katika kilimo na utaratibu huo utafanyika kupitia wakuu wa wilaya na mikoa ya kaskazini kwa kuanzia.

‘Niko tayari kuwasaidia kutekeleza kauli mbiu ya Rais Magufuli ya hapa kazi kwa hawa vijana wote wanaopungapunga mikono barabarani bila kazi waende kule wakaanzishe vijiji vyao vipya, huu utaratibu utafanywa na wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya lakini tutawachukua tu wale vijana ambao hawana ardhi mahali popote’;- Waziri Lukuvi

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

VIDEO: ‘Sheria ya kudhibiti madalali na wenye nyumba za kupangisha inakuja’- Waziri Lukuvi, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement