Top Stories

TRA ilivyokamata mafuta ya kula na mifuko sukari yenye thamani zaidi ya MILIONI 20 (+video)

on

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata jumla ya mifuko ya sukari 169 yenye uzito wa kilo 50 kila mmoja sanjari na maboksi 40 ya mafuta ya kupikia yaliyofungwa katika ujazo tofauti bidhaa zenye thamani ya zaidi Milioni 20.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Arusha Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo nchini, Charles Kichere amesema kwamba mnamo May 11, 2018 katika maeneo ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha mamlaka hiyo ilikamata malori mawili yakiwa yamepakia bidhaa za magendo.

Frank aliyenasishwa kiroba cha mahindi ameachiwa huru na Mahakama

 

Soma na hizi

Tupia Comments