Tangaza Hapa Ad

Walichokifanya Msami, Nandy, Maua na Shilole kwenye FIESTA Kahama


Msimu wa burudani unaendelea ambapo August 26 2016 ilikua zamu ya Kahama kushuhudia wakali wa bongofleva kwenye tamasha la FIESTA ambalo huwa linazunguka mikoa mbalimbali kila mwaka.

Wakali hawa watakuwepo pia leo jioni Muleba kwenye FIESTA ambapo wengine ni pamoja na Joh Makini, Mr. Blue, Bilnas, Manfongo, Sholo Mwamba na Chege.

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement