Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

PICHA 10: Kwa mwaka 2017 hii ndio miji ya gharama zaidi kuishi duniani


Wakati watu mbalimbali  Tanzania wakilalamika hela imepotea, leo nimekutana na miji ambayo ni gharama zaidi kuishi mwaka 2017 Duniani kutokana na soko la Nyumba kuwa juu zaidi duniani.

1. Hong Kong, China
2. Sydney, Australia
3. Vancouver,  Canada
4. Auckland, New Zealand
5. San Jose, Marekani
6. Melbourne, Australia
7. Honolulu, US
8. Los Angeles, Marekani
9. San Francisco, Marekani
10. Bournemouth & Dorset, Uingereza

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement