Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Uwezo mwingine unaotajwa kwenye simu ya Tecno Phantom 6 Plus

on

Simu ya Tecno Phantom 6 Plus bado haijaingia sokoni imetajwa kuwa na betri inayodumu kwa muda mrefu zaidi, kinginge kizuri kinachotajwa kutoka kwenye simu hiyo ni uwezo mkubwa kwa upande wa internet.

Tecno Phantom 6 Plus imetajwa kuwa na  kasi  unapoitumia kupata mambo mbalimbali au kutazama video mtandaoni. Uwezo huu wa spidi ukiwa pamoja na uwezo wake wa kukaa na chaji kwa muda mrefu ‘Ikiwemo kuchaji kwa haraka’ inakuwezesha kuitumia kwa muda wote bila tatizo wala wasiwasi wa aina yoyote wa kuzimikiwa au kutoweza kuangalia video zako kwa wakati.

Unaweza kuangalia uchambuzi huu mfupi hapa kuhusu spidi ya Tecno Phantom 6 Plus kwenye upande wa internet

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 28 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement