Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Queen Darleen adaiwa kutumia verse za Vanessa Mdee

on

Leo January 16 2017  kupitia U Heard kwenye XXL ya clouds FM, Soudy Brown ametukutanisha na stori inayomhusu, mwimbaji Queen Darleen ambaye kwa sasa wimbo wake wa kijuso ambao amefanya na Rayvanny unapata airtime kwenye radio station.

Inadaiwa kuwa verse za kwenye nyimbo hiyo ambazo ameimba Queen Darleen zilikuwa zimeshaiingiziwa vocal na Vanessa  Mdee lakini akapewa Queen Darleen, sasa Soudy Brown amemuuliza Queen Darleen kama wanabeef kwa sababu amempora verse zake……

>>>’Vanessa mshikaji wangu kinomanoma sina tatizo na mtu yeyote, si msanii, si mtu wa kawaida, hata mtu nikimkosea namuomba msamaha, napenda amani’.

Soudy Brown pia amemuuliza Rayvanny kwanini verse za Vanessa alimpa Queen Darleen>>>…..Vanessa alikuwa ameshafanya na iliisha yote lakini hakupendezwa sana na hiyo idea  akasema tutafute idea nyingine’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

HEKAHEKA: Baba wa kambo adaiwa kumbaka mtoto wa mke wake, bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement