Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Mtoto wa Marcelo akionesha ufundi kwa wachezaji wa Real Madrid

on

Beki wa kushoto wa timu ya taifa ya Brazil na club ya Real Madrid ya Hispania Marcelo Vieira leo kupitia instagram account yake amepost video clip ya mtoto wake alipowatembelea katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji wa Real Madrid.

Mtoto wa Marcelo ameonesha kufuata nyayo za baba yake baada ya kuonesha uwezo wake wa kuchezea mpira kama alionao baba yake, akiwa katika vyumba hivyo alionesha uwezo wake kwa kuonesha kumudu kuuchezea vizuri mpira kwa kichwa, unaweza kutazama hapo chini ilivyokuwa.

Aliyoyasema Samatta ameyatimiza, tutamuona Europa League 2018/19?

Soma na hizi

Tupia Comments