Tangaza Hapa Ad

Tuzo nyingine kubwa ambayo Alikiba amechaguliwa kuwania


Majina ya washiriki katika  tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania  yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika.

Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards  ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya ,kama ilivyo MTVMAMA kwa Africa.  Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikiba ameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura.

kiba

ULIKOSA KUONA ALIKIBA ALIVYOSAINI NA SONY SOUTH AFRICA? HAYA NI MAMBO MANNE KATI YA YOTE ATAYOYAPATA KWENYE MKATABA WAKE MPYA>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement