DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: KAMISHNA MKUU TRA: ‘Sasa nikiulizwa nina cha kusema’

on

Kamishina mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRACharles Kichele amefungua semina kwa wahasibu kutoka taasisi mbalimbali za Serikali.

Akifungua Semina hiyo amesema sasa ana ujasiri wa kujibu pale ambapo ataulizwa kuhusu kodi zinazokusanywa kuwa zinakwenda wapi? kwa kuwa kazi inayofanywa na Serikali kupitia kodi hizo inaonekana.

ULIIPATA HII YA TRA KUONGEA KUHUSU WANAOSAFIRI NA PESA KWENDA NJE YA TANZANIA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement