Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 10: Uchimbaji wa Mchanga ulivyoathiri eneo la Mji Mwema Kigamboni Dar es salaam

on

November 19 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Dar es salaam ili kusikiliza na kujibu kero mbalimbali za wananchi. Leo RC Makonda ameanza na wilaya ya Kigamboni ambapo amefika eneo ambalo limeharibiwa kwa shughuli za uchimbaji mchanga na kokoto.

Akizungumza baada ya kuona hali ilivyo RC Makonda amepiga marufuku shughuli zozote za uchimbaji wa mchanga kwenye makazi ya watu. Kwa mujibu wa wenyeji wa eneo hilo wamesema mchanga uliokuwa unachimbwa eneo hmchanga huo

>>>’Wapo watu wengine wanajenga barabara,  wanatumia haya machimbo kujenga barabara , sio vyema kukamilisha barabara ya lami halafu mkatuachia mahandaki kama haya nao ni marufuku watafute sehemu nyingine’

0f8a5045 0f8a5053 0f8a5054 0f8a5059 0f8a5060 0f8a5063 0f8a5072 0f8a5075 0f8a5078 0f8a5084

AUDIO: Majibu ya RC Makonda kuhusu kauli zake zilizoibua maswali 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement