Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ulimis Interview ya Kim Kardashian aliyomuonyesha na mtoto wake?

on

Screen Shot 2014-01-20 at 10.12.04 AMNajua hata Tanzania Kim Kardashian ana mashabiki wake pia ndio maana hii post inamuhusu huyu mpenzi wa rapper Kanye West alipokua anahojiwa kwenye show ya Ellen na kumzungumzia mtoto wake na Kanye pamoja na kuonyesha baadhi ya picha zake.

Tupia Comments

Advertisement