Michezo

Hivi ndio vikosi vya Wolrd Cup 2018 vya Nigeria, Brazil na Argentina

on

Mashabiki wa soka Duniani kote kwa sasa wanasubiria kwa hamu kushuhudia fainali za michuano ya Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika nchini Urusi, bado zimesalia siku 30 kabla ya michuano hiyo kuanza na tayari baadhi ya timu zimetaja vikosi vyao watakavyovitumia katika michuano hiyo ikiwemo Argentina, Brazil na Nigeria.

Watachujwa wachezaji 35 hao hadi kufikia 23 kwa ajili ya kikosi cha mwisho.

Brazil wao tayari wametaja kikosi kamili cha wachezaji 23 watakaoshiriki fainali za Kombe la Dunia 2018.

Nigeria wametaja kikosi cha wachezaji 30 ambao watachujwa hadi kufikia 23 ambao ndio kikosi kamili.

Simba kama Man City tu wametwaa Ubingwa wa Ligi nje ya uwanja leo

Soma na hizi

Tupia Comments