Tangaza Hapa Ad

Miss Tanzania apata mafunzo ya Urembo kwa make-up Artist wa Kim Kardashian


Jina lake ni Grace Malikita na amewahi kuwa Miss Tanzania namba 3, kitu anachopenda zaidi kukifanya ni mambo ya make-up na ndio kilichofanya ajilipie ada na kwenda kupewa mafunzo ya siku moja yaliyotolewa na make-up Artist wa TV Star Kim Kardashian.

 Ukibonyeza play hapa chini utakutana na info zote za Grace na walivyoonana na Kim.

ULIPITWA? Alichosema Diamond kuhusu Zari kumpost mpenzi wake wa zamani (Ivan) ? bonyeza play hapa chini kwenye hii video

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement