Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Tour nyingine ya Diamond na WCB Team kwenye mikoa 10 Tanzania

on

Tumezoea kuona mastaa wa muziki kutoka nje ya Tanzania wakifanya ziara za kimuziki kuzunguka sehemu nyingi kwenye nchi zao au nje, sasa tarajia kukutana na Crew ya mastaa wa muziki wa BongoFlava Wasafi Classic Baby “WCB” ikiongozwa na Diamond Platnumz kwenye mkoa wako kuanzia 2017.

Kupitia Twitter ya meneja wa Diamond Platnumz, Jorgé Mendez amepost taarifa ya ujio wa ziara ya kimuziki ya kundi hilo ambayo itaanza rasmi 2017 huku akisema kabla hajatangaza mikoa ambayo tour itakwenda, wakazi wa Dar es salaam wajiandae tena kwa party nyingine siku ya Valentines February 14, 2017.
wcb

VIDEO: Kitu Diamond Platnumz amefanya Vodacom Wasafi Festival Iringa tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Ulipitwa na hii ya VODACOM WASAFI BEACH PARTY 2016 Kwenye Steji ni Diamond, Vera Sidika, KCEE na WCB Team? Tazama video hii.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement