Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 15: Kutana na familia iliyouza nyumba ili kununua chakula cha Simba na Chui (+Video)

on

Inawezekana ikakushangaza kwamba inakuaje mtu auze nyumba ili apate pesa za kuwalisha Simba na Chui, hao wanyama wana nini cha zaidi? Famila moja nchini Afrika Kusini imejikuta ikiuza nyumba yake ya kifahari ili iweze kumudu gharama za matunzo ya Simba 6, Chui 10 na wanyama wengine wanaowafuga kwa zaidi ya miaka 9.

Familia hii imejikuta ikihitaji kupata chakula cha wanyama hao kila siku ambacho ni zaidi ya kilo 1000 za nyama ya Kuku ili wanyama wanaowafuga wapate kula, na kwa mujibu wa kaka wa familia hiyo “Fernandes” amesema gharama za kuwatunza wanyama hao ni zaidi ya shilingi milioni 1 kila mwezi.

Nimekuwekea hapa picha 15 za jinsi familia hiyo inavyoishi na kuwalisha wanyama hao.

Unaweza kuangalia hapa jinsi jamaa anavyowalisha simba na chui wake.

VIDEO: Ilikupita hii ya Mkuu wa Wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania kuhusu anachojivunia kwenye wilaya yake? Nimekuwekea video hapa chini, Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement