Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

PICHA 5: Nyingine ya mchungaji anayeshauri kunywa kemikali za kusafishia machine


Afrika kusini inazichukua tena headlines leo ambapo mtu mmoja anayejiita nabii nchini humo amesababisha wafuasi wake kunywa kemikali ya kusafisha injini za mitambo, akidai kuwa ina uwezo wa kuponya na ina pia ladha ya asali.

Theo Bongani Maseko kutoka kanisa la Breath of Christ Ministries, anasema kuwa kemikali hiyo hushambulia virusi kwenye mwili wa binadamu, na kutambua mashetani. Mchungaji huyo ni kati ya watu kadha ambao wamezua balaa kwa kuwamwagia watu dawa za kuuaa wadudu na pia kuwashauri kula wanyama wasioliwa.

Bwana Maseko alinukuliwa akisema kuwa kemikali hiyo haina athari za kiafya.

 

VIDEO: Ulipitwa na hii ya jamaa waliokutwa wakifukua makaburi? Nimekuwekea hapa chini unaweza kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement