Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

PICHA 7: Zimenifikia hizi za muonekano wa daraja la wavuka kwa miguu nchini China

on

Ni kazi yangu kuhakikisha kila siku nakusogezea picha za maeneo ambayo huenda haujafika na unatamani kutembelea siku ukipata nafasi, leo nimezipata hizi picha 7 za daraja lililoko katikati ya mji wa Changsha Meixi linalopita juu ya mto Meixi. Daraja hili lina urefu wa mita 185 na upana wa mita 24.

Daraja hili linawapa nafasi wapita njia kuona mji kwa uzuri zaidi kutokea hapo. Unaweza kuzitazama picha zote hapa chini.

VIDEO: Umeona ulipofikia ujenzi wa daraja jipya kwenye eneo la Furahisha jijini Mwanza. Tazama video hii chapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement