Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 13: Silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi DSM mwaka 2016

on

Leo December 30, 2016 Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limetoa taarifa kuhusu oparesheni mbalimbali ilizozifanya ili kuhakikisha kuwa wimbi la uhalifu na wahalifu linapungua na kutokomeza kabisa Kwa kipindi cha mwezi Januari 2016 hadi Desemba 2016.

  • Jumla ya Silaha 67 na risasi 1076 za aina mbalimbali zilikamatwa pamoja na watuhumiwa 52 na kufikishwa mahakamani kwa makosa ya ujambazi wa kutumia silaha/UGAIDI.

Oparesheni zilizofanyika kwa kutumia vikosi mbalimbali vya Jeshi la Polisi Kanda Maalum DSM likiwemo Kikosi Maalum cha Kupambana na ujambazi wa kutumia silaha, Kikosi cha Mbwa na Farasi, kikosi cha Kuzuia Wizi wa Magari, Kikosi cha Askari Kanzu, Kikosi cha Intelejensia, Kikosi Maalum cha Kuzuia Wizi wa Ng’ombe,  kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya na Kikosi cha Kuzuia ghasia( FFU) zimeweza kuleta mafanikio mbalimbali.

thumb_aw1a9407_1024 thumb_aw1a9409_1024 thumb_aw1a9410_1024 thumb_aw1a9411_1024 thumb_aw1a9412_1024 thumb_aw1a9413_1024 thumb_aw1a9414_1024 thumb_aw1a9415_1024 thumb_aw1a9417_1024 thumb_aw1a9418_1024 thumb_aw1a9419_1024 thumb_aw1a9420_1024

VIDEO: Uliikosa hii taarifa ya Jeshi la Polisi Makao Makuu kuhusu miili ya watu 7 iliyopatikana kwenye magunia Mto Ruvu? Bonyeza Play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement