Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Nyingine ya Nikki Mbishi, Feza Kessy kuhusu hali ya Nando wa Big Brother Africa #TheChase

on

Siku chache baada ya kuandika message yake kuhusu afya ya rapa Chid Benz ambaye ameathirika na matumizi ya dawa za kulevya ambazo inaelezwa amekuwa akizitumia kwa muda mrefu pamoja na kupelekwa Rehab lakini bado amerudia tena, nimekutana hii nyingine ya Nikki Mbishi kuhusu Nando, mshiriki wa “BBA The Chase”.

Hivi karibuni mshiriki huyo wa Big Brother Africa msimu wa The Chase amekutwa akiwa kwenye hali mbaya kiafya kwa kile kinachoelezwa ni kuzidiwa na dawa za kulevya. Nikki Mbishi ameandika maneno ya kuonesha kutofurahishwa na kile Nando amekuwa akikifanya.

Hiki kimeandikwa na Nikki Mbishi kupitia Instagram.

#NANDO stop whatchu doin bruh,get off whatchu on to! I’d like to see u this effectively healthy. Hatua uliyofikia ulipaswa kuwa mfanya biashara mkubwa due to the huge exposure you got for reppin’ yo country in #BBA. Come back to the essence of time home boy.

Mkono wa Mungu na ukuguse na usisite kugeuka ukiguswa,sipendi picha zako zinazosambaa mitandaoni,jifunze kupitia kaka zako waliopotea kwenye hayo mambo. #UNLUCKY_ME Most of my friends are unfortunately dragged into drugs but why GOD? Be Blessed and happy new year! – Nikki Mbishi

Nando anavyoonekana baada ya kuzidiwa na dawa za kulevya

2058426_3695782

Let’s pray for our brothers and sisters who are caught up in drug addiction. Chidi ni rafiki yangu for many years Na Nando mdogo wangu, I will Not Post how they look like Now cos kwangu haijakaa sawa. #MadawaYaKulevya sio mchezo it’s time tuache kunong’ona Na tuwe wazi! Hashtags Na Repost won’t help jamaniiiii A plan is needed as a society to a fight this devil. Kwa wale ambao wanasema “wakafie mbali” mara “wameyataka wenyewe” let me tell you something; Kuna watu wamezaliwa Na addictive personality, wanajaribu Mara moja na ndo mwanzo wa kujiuwa, wengine wanajaribu na wanaacha tu so muache kuhukumu watu kama vile nyie ni Mungu. There is nothing fair about addiction wao wenyewe wanakata tamaa. We need to stop this drug business “Sisi” kama society, we need to teach about it and make our kids fear these drugs, and we also need to love the ones affected, pray for them because huijui Kesho it might come to your house. Ni hayo tu for now.

A photo posted by Feza (@fezakessy) on

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Waziri Nape Nnauye kuhusu maisha ya wasanii, mipango ya serikali kuhusu haki za wasanii pamoja na BASATA kufungia nyimbo zao? Bonyeza play hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement