Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

NewVIDEO: Eddy Kenzo anakukaribisha kuitazama hii video yake mpya

on

Star mwimbaji kutoka nchini Uganda, Eddy Kenzo ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya BET ya msanii bora kutoka Africa Mashariki ametuletea hii video yake mpya “Obasinga”. Kwenye wimbo huu ameshirikishwa msanii mwingini aitwaye Gravity.

Itazame hapa chini.

VIDEO: Ilikupita hii show ya Dully Sykes na Harmonize pale Maisha Club? Nimekuwekea hapa itazame kwa kubonyeza play

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement