Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Dume Suruali” imegonga views milioni 2… ‘sitoigiza kuwa this is how we do it’ – Mwana FA

on

Leo January 16, 2017 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rapa Mwana FA ameandika maneno ya kuonesha vile anavyojisikia baada ya video ya wimbo wake “Dume Suruali” kutazamwa zaidi ya mara milioni mbili tangu itoke November 25, 2016.

Kumbuka hii inakuwa video pekee ya rapa huyo kufikisha views za idadi hiyo tangu ajiunge na mtandao wa Youtube.

Unaweza kusoma alichoandika Mwana FA hapa.

“Najua kwamba sio namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii,actually ni kanamba flani kaduchu tu ila kwangu its a big deal..kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa ‘this is how we do it’ na ‘it’s normal’, no it’s not, sio kawaida.. NASHANGAA..AHSANTENI SANA..how about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine? now lets get to 3m..shukrani sana!…nawaombea wiki njema mahangaikoni… #DumeSuruali”  – Faaaalsafa!?

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mwana FA kuhusu Sugu, collabo na Jay Dee na mengine? Tazama video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement