Tangaza Hapa Ad

Magazeti

TOP STORIES: Kutoka MAGAZETI ya leo Tanzania Dec 24, hizi ni STORI 10 zilizopewa Headlines…

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

Ni siku chache tangu kutokea kwa tukio la kushangaza jijini Mbeya, ambapo Bwana harusi aliyefahamika kwa jina Mwakalobo aliamua kumtekeleza Bibi arusi Given Mgaya muda mfupi kabla ya ndoa kufungwa ameakua kurudi kimya kimya kwa familia na kuomba msamaha ambao ulipokelewa na kuamriwa ifungwe ndoa kama ilivyopangwa.

VIDEO: Nimeshakuwekea habari kubwa zote zilizochambuliwa na Alice Tupa kutoka Ayo TV. Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement