PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Mix

Waziri Mwakyembe na Dr. Tulia walivyosakata rumba mbele ya watu wao Mbeya

on

Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tamasha la ngoma za asili TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 lililofanyika katika viwanja vya Tandale mkoani Mbeya lililoanzishwa na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ambalo linashirikisha mikoa yote nchini ambapo viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali, Mabalozi wa nchi pamoja na viongozi wa kimila yaani machifu nao walipata nafasi ya kushiriki.

Mambo sita makubwa usiyoyajua kuhusu ngoma za Dr. Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments