PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

DoneDEAL: Singida United imemsajili Fei Toto

on

Club ya Singida United ambayo kwa sasa ipo chini ya kocha wake mpya Hemed Suleiman Morocco bado inaendelea na usajili wa kuboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu mpya wa 2018/2019 wa Ligi Kuu ya Vodacom na Kombe la FA.

Singida United leo imetangaza kunasa saini ya nyota wa club ya JKU Feisal Salum Abdallah maarufu kwa jina la Fei Toto kwa mkataba wa miaka mitatu, hiyo ni baada ya kukubaliana na JKU.

Singida United imekubaliana na JKU kufidia malipo ya mkataba wa miaka miwili uliyokuwa umesalia kati ya Fei Toto na club yake ya zamani ya JKU, hivyo Singida imemtambulisha rasmi mchezaji huyo kama mchezaji wao rasmi.

Haji Manara kaeleza sababu za kuwasajili Wawa, Dida na Kagere

Soma na hizi

Tupia Comments