Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Baada ya Kitwanga kuulizwa kuhusu kuikosoa Serikali hivi karibuni (+video)

on

Charles Kitwanga Mbunge wa Misungwi ambaye kabla ya Rais Magufuli kumuondoa kwenye Uwaziri aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, hivi karibuni amekua akiandikwa sehemu mbalimbali na kuonekana kuikosoa Serikali baada ya kuondolewa kwenye uwaziri.

AyoTV na millardayo.com zimempata Kitwanga na haya ndio yalikua majibu yake >>> Ni vyema tukatambua unapokua upande wa Serikali wewe unalinda Serikali yako kwa nguvu zote, ukiwa Naibu Waziri, ukiwa Waziri…. uko ndani ya Serikali unalinda serikali yako, ukiwa upande mwingine unatetea sasa maslahi mengine.” 

Ukitaka kumtazama zaidi Charles Kitwanga unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini kupata yote aliyoyasema

ULIIKOSA? Charles Kitwanga aliposimama Bungeni na kusema ‘Nilikua siwezi kusema, sasa nimetoka kwenye uwaziri’. Bonyeza PLAY kutazama…

VIDEO: Musukuma alivyowasema Kitwanga na Nape kuhusu kuikosoa serikali, kila kitu kipo kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement