Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING NEWS: Mzee Samwel Sitta amefariki Dunia akiwa Ujerumani

on

Spika Mstaafu wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samwel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo ambapo taarifa za awali zinasema amefariki akiwa Ujerumani kwenye matibabu.

millardayo.com & Ayo TV zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo. R.I.P Mzee Sitta.

AUDIO: Mahojiano ya mwisho ya Mzee Sitta na AyoTV & millardayo.com miezi mitatu iliyopita na yalihusu taarifa zilizoandikwa na gazeti kuhusu yeye kuondolewa kwenye nyumba ya serikali.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement