Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kamishna TRA amezungumzia mchakato wa ongezeko la kodi mpya nchini

on

Leo May 14, 2018 Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekutana na wadau wa sekta ya utalii kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ambapo Kamishna mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema sekta ya utalii inachangia fedha za kigeni lakini haihakisi kodi za ndani.

Kichere amesema “Sekta ya utalii inachangia sana bado haihakisi kwenye kodi za ndani, siwezi nikaibuka leo Kamishna wa TRA nikafuta kodi au nikabadili kuna mchakato wa kufanya hivyo”

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

 

Soma na hizi

Tupia Comments