Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Mito tunayolalia inavyoweza kuhusika kueneza magonjwa mbalimbali

on

Leo November 14 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds Fm, Dr. Isaac Maro amefafanua kuhusu utafiti uliotolewa hivi karibuni ukidai kuwa mito tunayolalia inahusika kueneza magonjwa mbalimbali.

>>>’Sidhani kama inahitaji utafiti kugundua ili, nikikuliza mara ya mwisho kubadilisha mto wako wengi hamkumbuki, mto huwa unachukua vitu vingi kutoka mwilini mwako kama hujawahi kubadilisha mto maana yake vimelea vilivyosababisha upate mafua mwezi uliopita viko kwenye huo mto kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa yale maradhi uliyougua mwezi uliopita yakakurudia’

>>>’aidha kama watu wengi wanatumia mto huo wanaweza kuacha vimelea vya maradhi na vinaweza vikakuleta maradhi’

Ufafanuzi zaidi, bonyeza play hapa chini

AUDIO: Usile chakula cha usiku saa mbili, mwisho ni saa kumi na moja jioni

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement