MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VideoFUPI: Kijana alivyosombwa na maji LIVE Wananchi wakimtazama DSM

on

Hili tukio limetokea Dar es salaam ambapo kijana mmoja alieonekana kusaidia wengine kuvuka baada ya mvua kubwa kuharibu daraja, alisombwa na maji baada ya kuteleza na kuangukia kwenye maji yaliyokua yanapita kwa kasi, tazama kwenye hii video hapa chini

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments