Burudani

Dj Sinyorita “Wanaume wakikosa Nguvu za Kiume tunaathirika Sisi” | Shadee “Wanaume wa mbea”

on

Leo October 10, 2018 Zuch Zuchero ameingia mtaani kama kawaida ambapo amepiga stori na Watu mbalimbali akiwemo Dj wa Clouds FM Sinyorita pamoja na Mtangazaji wa Clouds TV Shadee, swali kubwa alilouliza Zuch ni kitu gani Wanaume na Wanawake huzidiana kufanya katika maisha ya kila siku?.

Kufahamu kilichojibiwa na DJ Sinyorita na Shadee bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

ZUCH ZUCHERO: KAWABAMBA MA MISS ”NENO MOJA KWA EX WAKO!

Soma na hizi

Tupia Comments